Home »
» LEO KATIKA BUNGE -Aprili 16,2013
LEO KATIKA BUNGE -Aprili 16,2013
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Tuesday, April 16, 2013 | 3:13 PM
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwaasa Waheshimiwa Wabunge kutumia Lugha ya Kistaarabu kuchangia mijadala Bungeni.
Mbunge wa Mwibara Mhe. Kangi Lugola, akiomba Mwongozo kwa Spika Bungeni
Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) akichangia Mjadala leo
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na teknolojia Mhe. January Makamba akijibu baadhi ya hoja zilizochangiwa Bungeni leo.
Copyright: Arusha Forum Blog
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !