Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini Arusha. - Arusha Forum
Headlines News :
Home » » Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini Arusha.

Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini Arusha.

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Sunday, April 28, 2013 | 11:15 AM


11th Extraordinary EAC Summit.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Kenya Mhe Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakati alipowasili

11th Extraordinary EAC Summit.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro

11th Extraordinary EAC Summit.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro

11th Extraordinary EAC Summit.

Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakisimama kwa dakika moja kumkumbuka laiyekuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Uganda Marehemu Eriya Kategaya wakati wa ufunguzi wa kikao cha kumi na moja cha Jumuiya hiyo jijini Arusha . Katika Hoteli ya Ngurdoto.Kutoka kushoto Rais Wa Burundu Pierre Nkurunzinza,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.

11th Extraordinary EAC Summit.

Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakisimama kwa dakika moja kumkumbuka laiyekuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Uganda Marehemu Eriya Kategaya wakati wa ufunguzi wa kikao cha kumi na moja cha Jumuiya hiyo jijini Arusha

11th Extraordinary EAC Summit.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

11th Extraordinary EAC Summit.

Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye kikao cha kumi na moja cha Jumuiya hiyo jijini Arusha

11th Extraordinary EAC Summit

Baadhi wa Wajumbe walioshiriki ufunguzi wa kikao cha Juu cha kumi na moja cha Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(11th Extraordinary EAC Summit)
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Arusha Forum - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger