![]() |
| Jamal Sambeke mtoto wa marehemu akifunga jeneza la baba yake mara baada ya watu mbalimbali kutoa heshima zao za mwisho nyumbani kwake njiro Themi Mkoani Arusha |
![]() |
| Watoto wa marehemu Sia na Getrude waliovalia nguo nyeupe |
![]() |
| Jamal akifunga jeneza la marehemu Babu Sambeke |
![]() |
| Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho |
![]() |
| Mkurugenzi wa Kibo Palace Vicent Laswai akizungumza katika msiba huo |
![]() |
| Mheshimiwa Jaji Aisha Nyerere na Mkurugenzi wa Kibo Palace Vicent Laswai wakiwa katika hali ya huzuni katika msiba huo. |
![]() |
| Ndg Raymond Kishumbua na baadhi ya wafanyabiashara wakiwa wamebeba jeneza katika safari ya mwisho ya Babu Sambeke. |
![]() |
| Mmoja wa wafanya biashara ya madini Ndg. Mula akiwa anatafakari jambo katika msiba huo. |
![]() |
| Baadhi ya Waombolezaji akiwemo Mke wa Mbunge wa zamani Mh. Felix Mrema mwenye miwani na Mh. Jaji Aisha Nyerere na baadhi ya Ndg ya Marehemu. |










0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !