RAISI JAKAYA M.KIKWETE AWASILI TABORA KUFUNGA MIRADI ZAIDI - Arusha Forum
Headlines News :
Home » » RAISI JAKAYA M.KIKWETE AWASILI TABORA KUFUNGA MIRADI ZAIDI

RAISI JAKAYA M.KIKWETE AWASILI TABORA KUFUNGA MIRADI ZAIDI

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Wednesday, January 9, 2013 | 12:35 AM

January 8, 2013


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikat utepe kuzindua rasmi  ujenzi wa barabara hiyo akiwa katika ziara yake ya  siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa wahandisi wa kutoka China waliopata kandarasi ya kujenga barabara baada ya kuzindua rasmi  ujenzi wa barabara hiyo akiwa katika ziara yake ya  siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya Tabora Mjini toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe  Suleiman Kumchaya  wakati Rais alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya  siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya Uyui toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Lucy Mayenga wakati Rais alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya  siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Arusha Forum - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger