WAFUASI WA CHADEMA WACHAFUA HALI YA HEWA KWENYE SHEREHE ZA CCM MKOANI DODOMA - Arusha Forum
Headlines News :
Home » » WAFUASI WA CHADEMA WACHAFUA HALI YA HEWA KWENYE SHEREHE ZA CCM MKOANI DODOMA

WAFUASI WA CHADEMA WACHAFUA HALI YA HEWA KWENYE SHEREHE ZA CCM MKOANI DODOMA

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Monday, February 4, 2013 | 10:56 AM


 Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA} akikimbia kipigo alichokuwa akiangushiwa na wafuasi wa CCM katika eneo la uwanja wa wazi,karibu na barabara ya Mwanga mkoani Dodoma.Hii imetokea jana mchana wakati WanaCCM hao walipokuwa wanaadhimisha miaka 36 ya kazaliwa kwa chama Chao katika kata ya Uhuru, ambapo Wafuasi hao wa CHADEMA walienda katika viwanja hivyo na kuanza kuweka bendera yao sehemu hiyo huku shamrashamra za wana CCM hao zikiwa bado zinaendelea.
Mmoja wa wafuasi hao wa CHADEMA waliokamatwa katika sekeseke hilo akiwa ndani ya gari la polisi.

        Wafuasi wa CCM Wakimnyang'anya bendera ya Chadema mfuasi wa chama hicho aliyetaka kuiweka bendera hiyo sehemu ambayo ilikuwa inafanyikia sherehe ya maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM kata ya Uhuru mkoani Dodoma.

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Arusha Forum - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger