MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ALIPOKUTANA NA SENETA STIVE KING KWA MAZUNGUMZO, WASHNGTON DC NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA WATZ WA JUMUIYA YA WASHNGTON DC - Arusha Forum
Headlines News :
Home » » MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ALIPOKUTANA NA SENETA STIVE KING KWA MAZUNGUMZO, WASHNGTON DC NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA WATZ WA JUMUIYA YA WASHNGTON DC

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ALIPOKUTANA NA SENETA STIVE KING KWA MAZUNGUMZO, WASHNGTON DC NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA WATZ WA JUMUIYA YA WASHNGTON DC

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Friday, February 8, 2013 | 11:10 AM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na Seneta, Stive King, wakati alipofika katika Ofisi yake iliyopo
katika jingo la Ofisi za Maseneta wa Marekani, akiwa katika ziara yake ya siku
nne katika jiji la Washngton Dc nchini Marekani, Feb 6, 2013.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio
 Washngton Dc, Feb 6, 2013.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Washngton Dc, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Feb 6, 2013, katika Hoteli ya Omni Shoreham
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, nchini Marekani
katika jiji la Washngton Dc, baada ya mazungumzo yao alipowasili jijini humo
kuanza ziara yake ya siku nne, iliyomalizika jana Feb 7, 2013. Wa kwanza
(kushoto) ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu 
(wa tano kutoka kushoto)
 ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mahadhi Juma Maalim.


Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Arusha Forum - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger