WAZIRI MKUU ASHIRIKI MJADALA KUHUSU JUHUDI ZA SEREKALI KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA ULIOFANYIKA NCHINI AFRIKA KUSINI - Arusha Forum
Headlines News :
Home » » WAZIRI MKUU ASHIRIKI MJADALA KUHUSU JUHUDI ZA SEREKALI KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA ULIOFANYIKA NCHINI AFRIKA KUSINI

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MJADALA KUHUSU JUHUDI ZA SEREKALI KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA ULIOFANYIKA NCHINI AFRIKA KUSINI

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Sunday, February 10, 2013 | 9:11 AM

 Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mahojiano na Mtangazaji wa habari za michezo wa Televisheni ya Super Sport,Bi. Carol Tshabalala katika mjadala kuhusu Tanzania inavyo jitahidi kupamabana na ugonjwa wa Malaria,mjadala huo ulifanyika kwenye kituo cha mikutano cha 
Sandton kilichopo jijini Johannesburg Afrika kusini.
 Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF),Leodiger Tenga wakati wa mjadala wa kuhusu kupambana na malaria.
kulia ni Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda.
 Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda (wa pili kulia) akisaini mpira ikiwa ni ishara ya kupambana na Malaria kwakupitia michezo.wengine pichani kutoka kushoto ni Mama Tunu Pinda,Meneja wa mpango wa kudhibiti malaria nchini,Dkt. Ally Mohamed,Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Mh. Dkt. Seif Rashid,Mwana muziki marafu nchini Afrika kusini na Balozi wa kupambana na ugonjwa wa malaria,
Bibi Yvonne Chakachaka na mwisho ni Mh. Dkt. Hamisi Kigwangalla (MB).
 Mama Tunu Pinda akisaini juu ya mpira ikiwa ni ishara ya kutumia michezo kupambana na malaria huku Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisaidia kumshikia.katikati ni Balozi wa kupamabana na malaria na mwana muziki marufu nchini Afrika kusini,Bibi Yvonne Chakachaka.
 
 Baadhi ya Wadau waliohusika kwenye hafla hiyo.Picha na Chris Mfinanga
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Arusha Forum - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger