Mdau Lusivya wa Twanga Pepeta amekula nondozzz yake ya pili ya Accounting and Finance kutoka kwenye Chuo Kikuu cha De Monfort University kilichopo UK.(pichani akiwa na marafiki zake)
La Familia Msiilwa Baraka, Omary Baraka na Baraka Baraka wakisherehekea na Lusivya. |
Wahitimu Mo, Lusivya na Rashid wakisherehekea nondozzzzzzz. |
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !