Home »
» ZIARA YA RAIS KIKWETE NZEGA
ZIARA YA RAIS KIKWETE NZEGA
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi Dkt
John Pombe Magufuli, Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe na Waziri
wa Fedha Dkt William Mgimwa kabla hajahutubia Jumatatu mkutano mkubwa wa
hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora
ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na
maji. |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Jumatatu mkutano mkubwa wa hadhara
mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo
anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji. |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikilia maelezo ya Meneja wa
TANESCO wa Nzega akielezea mikakati ya kuwapatia wakazi wa hapo nishati
hiyo Jumatatu mkutano mkubwa wa hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya
siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo
ikiwemo barabara, daraja na maji.
|
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !