Home »
» MAPOROMOKO YA PILI KWA UKUBWA BARANI AFRIKA
MAPOROMOKO YA PILI KWA UKUBWA BARANI AFRIKA
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, January 10, 2013 | 6:14 AM
Naibu Waziri wa Uchukuzi,Dkt Charles Tizeba (aliyevaa suti ya kaki ),akiangalia maporomoko ya Kalambo yaliyoko Mkoani Rukwa . Maporomoko hayo ni ya pili kwa ukubwa barani Afrika, ya kwanza yakiwa yale ya Viktoria Falls yaliyoko Zimbabwe.
Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga. Kwa mwaka 2012 idadi ya abiria imefikia wastani wa 200 kwa Mwezi ikilinganishwa na miaka ilipita na matarajio kufikia mwishoni mwa mwaka 2012 idadi ya abiria itazidi na kufikia 1,000.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !