Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete. |
Rais Dk. Jakaya Kikwete ameteua wenyeviti wapya wa bodi za wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) na Kampuni ya Reli (TRL).
Amemteua Profesa Joseph Msambichaka kuwa Mwenyekiti wa TPA wakati Severine Kaombwe ameteuliwa kushika wadhifa huo katika kampuni ya TRL .
Uteuzi wa Profesa Msambichaka ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha TEKU Mbeya unatengua ule wa awali wa Raphael Mollel aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TPA.
Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana Dar es Salaam ikimkariri Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Penniel Lyimo, ilisema uteuzi huo ulianza wiki hii Janu
CHANZO: NIPASHE

kazi nzuri sana inaitaji pongezi naawashauri ndg jamaa na marafiki watembelle bloger hii it update blogger
ReplyDelete