Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda
akiwa katika mahojiano na Mtangazaji wa habari za michezo wa Televisheni ya
Super Sport,Bi. Carol Tshabalala katika mjadala kuhusu Tanzania inavyo
jitahidi kupamabana na ugonjwa wa Malaria,mjadala huo ulifanyika kwenye kituo
cha mikutano cha
Sandton kilichopo jijini Johannesburg Afrika kusini.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda
akiwa katika mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini
(TFF),Leodiger Tenga wakati wa mjadala wa kuhusu kupambana na malaria.
kulia
ni Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda (wa
pili kulia) akisaini mpira ikiwa ni ishara ya kupambana na Malaria kwakupitia
michezo.wengine pichani kutoka kushoto ni Mama Tunu Pinda,Meneja wa mpango wa
kudhibiti malaria nchini,Dkt. Ally Mohamed,Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii,Mh. Dkt. Seif Rashid,Mwana muziki marafu nchini Afrika kusini na Balozi
wa kupambana na ugonjwa wa malaria,
Bibi Yvonne Chakachaka na mwisho ni Mh. Dkt.
Hamisi Kigwangalla (MB).
Mama Tunu Pinda akisaini juu ya
mpira ikiwa ni ishara ya kutumia michezo kupambana na malaria huku Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisaidia kumshikia.katikati ni Balozi wa kupamabana na
malaria na mwana muziki marufu nchini Afrika kusini,Bibi Yvonne Chakachaka.
Baadhi ya Wadau waliohusika
kwenye hafla hiyo.Picha na Chris Mfinanga
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !