Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na Seneta, Stive King, wakati alipofika
katika Ofisi yake iliyopo
katika jingo la Ofisi za Maseneta wa Marekani, akiwa katika
ziara yake ya siku
nne katika jiji la Washngton Dc nchini Marekani, Feb 6,
2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,
akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio
Washngton Dc, Feb 6,
2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya
Watanzania waishio Washngton Dc, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Feb 6, 2013, katika Hoteli
ya Omni Shoreham
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika
picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, nchini Marekani
katika jiji la Washngton Dc, baada ya mazungumzo yao alipowasili jijini
humo
kuanza ziara yake ya siku nne, iliyomalizika jana Feb 7,
2013. Wa kwanza
(kushoto) ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro
Nyalandu
(wa tano kutoka kushoto)
ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa kimataifa, Mahadhi Juma Maalim.
Picha
na Muhidin Sufiani-OMR
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !