LICHA YA KASHESHE LA MOTO MV. VICTORIA YAFANYA SAFARI USIKU HUU - Arusha Forum
Headlines News :
Home » » LICHA YA KASHESHE LA MOTO MV. VICTORIA YAFANYA SAFARI USIKU HUU

LICHA YA KASHESHE LA MOTO MV. VICTORIA YAFANYA SAFARI USIKU HUU

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, February 7, 2013 | 2:15 PM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKFWXijsERfP7PKgX1K-UP2i8eSJ2igti6O15I3GrY221ERB5vr8vkgxGeZMFgalMGu3Ql2T2biw6cdsXTFqel9RUqJgjSzNQ4Adbh71JqMB4ujLnWJBsf4TGS_qaNpsKXekLjZm4NzK4/s1600/mv.+victoria.jpg
Mv Victoria ikijitayarisha kwa ajiri ya kufanya safari yake usiku wa leo kuelekea mjini Bukoba mkoani Kagera mara baada ya kukaguliwa kufuatia kunusurika kuteketea mchana wa leo kupitia sakata la wachomeleaji walio sababisha moto uliozuka eneo la kuhifadhi mizigo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjBKIqWX1q5e74p0f6b33gxwbNvatO1bsM4zbJVb3lo0ih3yry8ZpgnJNVybUIn7muol2jUAvYeuKMs03cUixvapXBeEwUHRUSGhQdFFO074znPS3PGX-aFpVzJOW6a6UK0hbggixur5Us/s1600/mv.+victoria+2.jpg
Mv. Victoria ikipakia gari usiku huu hatimaye kuanza safari yake usiku huu.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPATmBQGBcjmp_Lk7PCO036dwUX3qWCOAf7xqXr6lKp8FAuoh0XcV3zzaVYo0zOUhEPJAL3zRXcAybK2DH7fU0IdAeEnJVUfikPY7BL7fou1_LKYSsyLvkuaXn378K_iWAGkMU5VQ_2jg/s1600/mv.+victoria+3.jpg
Nao wasafiri walipanda kama ada licha ya baadhi yao kuonekana kuwa na wasiwasi na 
wengine kuahirisha kabisa safari.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhWLVXc-0VKpS0_oEj116rbfq00zPTyIzFUUQwaUom9PzdR1KQwQaarJsxJSyoTfCv-ucfZaPnM10dlsSnx-DCahd6UPBBsAOw6ErcPOEAjkCaf7DzO5Dh4QSXyEdjOWjkZfjnE-JTlsVY/s1600/mv.+victoria+1.jpg
Ndani ya meli abiria wakitathimini mazingira.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLYAe5ea3-dQZgJe_i8IWsnm57kB5_q18I3R7wswwfEFpJPhMJVs89y4LrbKj7k3Rvu76Z8W15MYIohgRo3FkV36xGQJanDKpWz5CgImrKQj1tuduZciVuv0ZozY8rfc5Bht4tJSpK78s/s1600/mv.+victoria+5.jpg
Saa 3 na dakika 10 meli ya Mv. Victoria inaondoka Mwanza.... 
kuelekea Bukoba Mkoani Kagera.
Picha na Mdau G Sengo
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Arusha Forum - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger