Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
(kushoto) January Makamba wakibadilishana mawazo na Ahmed Shabiby(Gairo) katika
viwanja vya Bunge .
Salehe Pamba (kulia) amkisikiliza Mkurugenzi Mtendaji
kutoka Kampuni ya sola ya Rex Energy Francis Kibhisa jinsi ya matumizi
mbalimbali ya umeme wa Sola. Maonyesho hayo yanafanyika katika viwanja vya
Bunge mjini Dodoma.
Mjumbe wa Timu ya watu sita Bernardetha Mushashu (Viti
Maalumu (kushoto) akipokea vitabu vya mtaala wa Elimu ya Awali (2005), Mtaala
wa Elimu ya Msingi (2005) na Mtaala wa Elimu ya Sekondari (2005) kutoka kwa
Mfanyakazi wa Bunge Modesta Kipiko ,kwaajili ya kwenda kuchunguzwa vitabu vya
mitaala vilivyowakilishwa mezani leo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dkt Shukuru Kawambwa Bungeni ili kujiridhisha. (hayupo pichani).
Wanafunzi wa Shule ya Dar es Salaam Independence
kutoka Dar es Salaam
wakitambulishwa
Bungeni leo.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !