Mbunge wa Moshi Mjini Mhe Phillemon Ndesamburo akiongea na Mhe Lucy Owenya (viti maalumu - CHADEMA) Bungeni leo. |
Waziri Mkuu Mizengo
Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wabunge (katikati ) Mary Mwanjelwa(-Viti
Maalumu) na James Lembeli (kulia) Kahama leo Bungeni.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !