Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa
(MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT.
Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni
23520 kuanzia daraja la I hadi la IV huku katika mchakato huo wasichana
waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri
Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili
ni 6495 na daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.
Shule bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbeya, Marian
Boys ya Bagamoyo, Feza Boys Dar es Salaam, Marian Girls Bagamoyo na Simini,hizo
ndizo zilizopo kwenye tano bora huku shule nyingine ni Kanosa, Jude, St. Mary.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !