Mbunge wa Jimbo la
Mvomero, Amos Makalla ( kushoto) akiwakabidhi bati
24 kwa viongozi wa
CCM Tawi la Kwa Mayambi, kata ya Sungaji ili
kuezekea jengo la
Ofisi.
Mbunge wa Jimbo la
Mvomero, Amos Makalla ( kushoto) akikabidhi viti
45 kwa uongizo wa CCM
Kata ya Sungaji ili vitumike wakati wa mikutano ya
Chama.
Mbunge wa Jimbo la
Mvomero, Amos Makalla ( kulia) akimkabidhi kitabu
cha somo la sayansi
ikiwa ni sehemu ya vitabu 121 kwa Mkuu wa Sekondari
Adrian Mkoba ,Harold
Mhando.
Mbunge wa Jimbo la
Mvomero, Amos Makalla akiwa katika picha za aina mbalimbali
wakati wa ziara yake
aliyoifanya kuanzia Februari 11 hadi 13, mwaka huu
katika vijiji kadhaa
vya Kata ya Sungaji, Hembeti na Mzumbe
iliyokuwa
na lengo la kutoa
misaada ya aina mbalimbali ikiwa ni utekelezaji wa
ahadi zake pamoja na
kusikiliza kero na kuhamasisha shughuli za
maendeleo. ( Picha
zote na John Nditi).
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !