Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Dk Emmanuel Nchimbi
akizungumza na Mbunge wa Uingereza, Lord Dholakia (katikati), ambaye amekuja
nchini kwa ziara ya kikazi. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna
Jenerali John Minja. Waziri alibadilishana mawazo na mbunge huyo katika Hoteli
ya Serena jijini Dar es Salaam, kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mh. Dk Emmanuel Nchimbi (wa tatu kutoka kulia) akizungumza na
Mbunge wa Uingereza, Lord Dholakia (wa pili kutoka kulia), na maofisa
mbalimbali wa ubalozi wa Uingereza nchini. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Magereza,
Kamishna Jenerali John Minja, wengine ni maofisa wa wizara hiyo.
Mbunge wa Uingereza, Lord Dholakia (wapili kutoka kulia)
akizungumza katika kikao hicho.
--
PICHA ZOTE NA-FELIX MWAGARA
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !