Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA}
akikimbia kipigo alichokuwa akiangushiwa na wafuasi wa CCM katika eneo la
uwanja wa wazi,karibu na barabara ya Mwanga mkoani Dodoma.Hii imetokea jana
mchana wakati WanaCCM hao walipokuwa wanaadhimisha miaka 36 ya kazaliwa kwa
chama Chao katika kata ya Uhuru, ambapo Wafuasi hao wa CHADEMA walienda katika
viwanja hivyo na kuanza kuweka bendera yao sehemu hiyo huku shamrashamra za wana
CCM hao zikiwa bado zinaendelea.
Mmoja wa wafuasi hao wa CHADEMA waliokamatwa katika sekeseke
hilo akiwa
ndani ya gari la polisi.
Wafuasi wa CCM Wakimnyang'anya bendera ya Chadema mfuasi wa
chama hicho aliyetaka kuiweka bendera hiyo sehemu ambayo ilikuwa inafanyikia
sherehe ya maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM kata ya Uhuru mkoani Dodoma.
|
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !