Mkurugenzi wa Masoko
wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)Devota Mdachi kushoto na maafisa wengine wakiwa
katika maonyesho ya Utalii ya FITUR ambayo ni ya tatu kwa Duniani yaliyofanyika
kuanzia Januari 30 mpaka Februari 3 mwaka huu nchini Madrid nchini Hispania na
kushirkisha Bodi ya Utalii (TTB), Mamlaka ya Hifadhi za Taifa ya Ngorongoro
(NCAA) na makampuni zaidi ya sita ya utalii kutoka nchini Tanzania katikati ni
Esther Solomon (Senior Tourist Information Officer,(TTB) , Israel Naman
({Principal Conservation Officer, (NCAA) na Maria Kirombo (Park Warden, Arusha
National Park).
Devota Mdach kushoto,
Maria Kirombo and Esther Solomon wakiwa katika banda la Tanzania nchini
Hispania kwenye maonyesho ya utalii ya FITUR.
Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika picha ya pamoja na Youssou
Ndour Waziri wa Utalii na Utamaduni nchini Senegal
ambaye pia ni mwanamuziki maarufu duniani wakati alipotembelea banda la Tanzania katika maonyesho hayo , Youssou Ndour
amewahi kufanya ziara ya kimuziki mara tatu nchini Tanzania kabla ya kuteuliwa kuwa
Waziri wa Utalii na Utamaduni nchini mwake.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !