Wanafunzi wa chuo kikuu cha udaktari (Kilimanjaro Christian
Medical University College) kutoka miaka mbalimbali na kozi mbalimbali
wakishirikiana na wafanyakazi wa KCMC (kilimanjaro Christian Medical Centre)
kupitia kikundi chao kiitwacho Shine Light wameweza kukusanya shillingi Milioni
mbili na Laki saba na kuweza kuwasaidia wanafunzi 23 kutoka kituo cha kulelea
watoto wanaoshi katika mazingira magumu kwa ajili ya masomo yao,wameweza
kuwanunulia sare za shule (mashati,masweta,kaptura,sketi,soksi, begi, madaftari
na rula) vile vile na ada ya mwaka mzima kwa wanafunzi hawa.
Zifuatazo ni baadhi
ya picha za tukio hilo.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !